Mwanzo

Video za bure zinazohamasisha Biashara Bora

Kuanza • Kukua • Kuimarika • Urithi

biz-1

Kuanzisha biashara yako?

Kuanzisha biashara mpya kunaweza kuwa kugumu lakini ni kazi yenye kuridhisha. Usifanye peke yako. Angalia video zetu ili ujifunze wengine walianzishaje mpaka wakavuka vikwazo kufikia kuzindua biashara.

KUANZA

biz-3

Kukuza biashara yako 

Kuwa na mpango imara na watu sahihi mahali ni muhimu katika ukuaji wa biashara. Lakini vipi kuhusu fedha? Au amua muda mwafaka wa kupanua biashara? Kukuza biashara yako ni sehemu nzuri ya kuanzia.

KUKUA

biz-2

Kuimarisha biashara yako?

Mtu mwenye hekima ana hamu ya kujifunza kutoka kwa wengine ukifahamu hivyo haijalishi kina cha utaalamu alionao siku zote kuna ziada ya kufahamu na kujifunza. Angalia mfululizo wa somo letu la kuimarisha biashara.

KUIMARISHA

legacy

Kuacha Urithi wako

Ni muhimu kuacha urithi wa ubora kwa vizazi vijavyo. Angalia somo letu kuhusu kujenga Urithi.

URITHI

Vipengele vya mafundisho

Historia Binafsi – David Kamanzi

Kuangalia Mafundisho yote

Kuchagua Wafanyakazi