Financial Reserves

Financial Reserves
February 17, 2019 Gary Shotton

In reaching your goal of financial success, you will soon realize there are ups and downs along the way and having a financial reserve will make the difference by Gary Shotton #000266

Click Here to download in audio (.mp3 format); right click on link and select “save as”

Click Here to download in video (.mp4 format); right click on link and select “save as”

Financial Reserves

By Gary Shotton

This text is in Extreme Rough draft and will be edited in the near future.

 

 

Auto translate to Swahili – YouTube did this instead of English

Habari jina langu ni Gary Shotton na nipo hapa kama sehemu ya Uhamasishaji wa Biashara bora. Kukusaidia wewe katika biashara yako. Na unaweza kujua kwa sasa huwa tunapiga simu Na huwa tunafanya mazungumzo na vikundi vya watu Katika nchi zinazoendelea, na tunakuomba uwe sehemu ya haya. Leo tutazungumza mada ya Kuwa na akiba. Je ninamaanisha nini Kuwa na akiba ya fedha kwamba kama Kitu hakijaenda kama ilivyopangwa Kwamba unaweza kuchuku kutoka kwenye hiyo akiba bila Bila kuwa kwenye hali mbaya ya Msongo wa mawazo, Na hali ngumu na hata kufa kwa biashara.Unaona kila biashara Ina majira na mizunguko na kama umenisikiliza kwa muda Utajua kanuni mojawapo Ninayoifundisha ni kukua hatua kwa hatua Na katika somo ninazungumzia Kama mchezo wa baseball. Kwa hiyo kama upo kwenye uwanja wa mapambano Ninatoa mfano, na mpira Unarushwa kwako na unaupiga huo mpira Hiyo ni kama umeanza kwenye biashara, Kwa mara ya kwanza na Lengo lako ni kukimbia kwenda kwenye kituo cha kwanza Na kusimama kwenye hicho kituo bila kugusishwa mpira. Hicho kituo kinajulikana Kama kituo salama,naam Unapoendesha biashara yako unapaswa kukua na kuchukua hatua ya kwanza Na kufika kwenye hatua ya kwanza. Na unapaswa kuwa mwangalifu, kufanya Kila kitu kinachohitajika katika hicho kiwango cha Biashara ili upate mafanikio.Unapaswa kuboresha Ubora, unapaswa kuboresha Mfumo wako wa mahesabu Unapaswa kuboresha jinsi unavyoendesha biashara yako. Upo hapo kwa kipindi cha muda katika hiyo hatua, Na utasema nataka kwenda kwa haraka Nataka kukua, mpaka ujifunze mafunzo Katika hiyo hatua Haupaswi kusukuma mbele kwenye hatua nyingine. Unapaswa kusimamia Kwenye hicho kiwango cha biashara Kwa ajili yako na kwa kufanya hivyo Utakuwa unajiandaa mwenyewe Kwenda kwenye hatua nyingine.Mfano mwingine Ni mtu aliye shuleni, unaweza kusema ni mmoja wa watoto wako. Na wapo kwenye darasa la kwanza, na kuna kiwango cha ufanisi katika herufi, na hesabu, Au milinganyo ambayo huyo kijana anapaswa kujifunza Ili aweze kwenda kwenda darasa la pili Ni hilo pia ni kweli kutoka darasa la pili kwenda Darasa la tatu, kama mtu amesonga mbele na Kuruka baadhi ya madarasa na hawajui Matofali yanayohitajika kwa ujenzi, ukweli unaoendana na Daraja ambalo limekosekana na halafu Watajikuta wamepotea katika hatua za mbele. Na hicho ndicho unachohitaji kukiepuka,sasa Kuwa na akiba ni njia mojawapo unayoweza Kujua kwamba upo tayari kwenda kwenda hatua inayofuata. Na hili linaweza kusikia kama geni kwa kila mtu.Lakini mimi Mara zote nimekuwa na aina fulani ya akiba Ambayo ninaweza kuichukua pale ambacho jambo lisilotarajiwa linapotokea. Kwa mfano upo kwenye biashara na Unashikiria katika sehemu fulani na unajifunza masomo yote. Ambayo unaweza kujifunza katika hiyo hatua. Je wakati gani unapaswa kwenda kwenye hatua inayofuata? Wakati unayo akiba, Wakati una fedha, weka kando Kwamba hauiguki, na hakuna mtu anayeigusa na una mto. Au neno lolote unalolitaka kulitumia.Kitu ambacho hakiwezi kuguswa na wengine kwa sababu unapokwenda kwenye Hatua nyingine Unataka kuhakikisha unakimbia kutoka Kituo cha pili hadi cha tatu unapaswa kufika hapo na kukaa juu yake. Na ili uwe salama tena.Kukuza biashara yako Na kila biashara Ina milima na Mabonde, kila biashara ina mambo Yasiyotarajiwa. Na hiyo ni sehemu ya biashara.Na biashara ambazo zinafanikiwa Ni biashara ambazo zinazondinda Huo wakati mgumu. Na pia ni kama ni vyema kuwa na wakati mgumu Kwa sababu inawezekana mshindani wako hajajiandaa kama wewe ulivyojiandaa. Na hawawezi kusimamia matatizo, Na siwatakii hilo ila biashara zao zitakufa wamekosa akiba. Lakini wewe una akiba na unaweza kwenda kweny hatua inayofuata. Najua unasema unafiri utakopa kutoka kwa jirani yako. Kopa kutoka kwa mjomba wako Hiyo ni njia mbaya ya kufanya biashara. Unapaswa kusimama imara. Kuweza Kusimama katika hiyo biashara wewe mwenyewe. Na nitakwambia unapaswa kuwa mwenye siri kuhusu wewe kuwa na hii akiba. Kwa sababu mara watu wengine watakapotambua Una fedha zaidi kwenye akiba Watakujia na kukuomba uwalipie gharama za hospitali. Hawana ada kwa ajili ya watoto wao.Hawana sare za shule, hawana chakula.Naam Huo siyo ukatili Kusema hii ni fedha yangu ya akiba ya biashara.Na sitaki kuigusa.Kwa sababu nimeiweka kwa ajili ya Kwa ajili ya biashara yangu Na njia bora ya kufanya hivyo ni Kutokumwambia mtu kwamba unayo hiyo fedha. Hausemi uwongo Unasema Sina fedha ambayo ninaweza kukupa Katika fedha zangu za akaunti binafsi kukusaidia na kama unayo kwenye fedha binafsi msaidie. Usiguse akiba yako isipokuwa tu pale unapoihitaji kwa ajili yako kupita kipindi kigumu. Unapokuwa na akiba Hapo upo tayari kwenda kwenye hatua nyingine.Hayo maoni yangu. Asante
Gary Shotton on EmailGary Shotton on FacebookGary Shotton on LinkedinGary Shotton on Twitter
Gary Shotton
Founder | IBBTalks.com
The founder of IBBTalks.com which was formed to "Inspire Better Business."
As an astute businessman, he is passionate about helping others in the business world achieve maximum profits. He has a keen interest in international business. www.InspiringBetterBusiness.com

0 Comments

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

Share This