Gaining Wisdom

Gaining Wisdom
January 27, 2019 Gary Shotton

A hidden key to gaining wisdom, is to give away some of the wisdom you currently possess by Gary Shotton @000257

Click Here to download in audio (.mp3 format); right click on link and select “save as”

Click Here to download in video (.mp4 format); right click on link and select “save as”

Gaining Wisdom

By Gary Shotton

This text is in Extreme Rough draft and will be edited in the near future.

 

Auto translate to Swahili – YouTube did this instead of English

Habari jina langu, ni Gary Shotton. Na nina furaha sana kuwa hapa nawe tena Kama sehemu ya uhamasishaji wa biashara bora. Leo tutaongelea kuhusu somo la kupata Hekima, Waw, kila mtu anataka kupata hekima.Je tunapataje hekima Je ni aina gani ya hekima tunahitaji kuipata. Nataka kujadili hilo. Na labda kuweka wazi siri ndogo ambayo Nimeigundua nimeipata ambayo itakuwa ni msaada kwako kwanza kabisa. Njia ya kawaida kufikiria hili ni kusoma vitabu, Kuhudhuria semina, Kusoma vitu, nenda google au Tafuta kwenye mtandao.Huo ni ufahamu Hekima ni kitu ambacho unakitumia Na uelewa ambao unao. Na nashauri kwamba hekima ni kitu ukipatacho baada ya Uelewa tunaweza kuuita sasa, uelewa tunaoupata kutoka kwenye mtandao ni hekima ya wanadamu.Sasa Tunaweza kuita vitu vingi tunavyovipata kwenye mtandao ni hekima. Ninataka kufuata hekima ya Mungu. Nipo wazi kuhusu imani yangu. Nipo wazi na naamini Mungu ni Mungu ni mtoaji wa kila hekima ililyo njema.Na inasema hivyo Kupitia biblia nzima. Nataka Hiyo aina ya hekima.Siyo tu Hekima ya kibinadamu.Naam, Nimesema kwamba kuna kanuni zilizojificha. Siyo mara zote ni njia iliyonyooka.Huwa naiita Ili kupata hekima Lazima ujifunze ni lazima kutoa . Unawashauri kwa watu wengine.Waw, je hiyo ina maana gani? Katika nchi za kigeni tunajua kama Kuna changamoto mfano ukifungua duka Au ukiwa umefanikiwa katika eneo Ambapo utataka kuficha ufahamu ulionao Unaweza usiweze kuwashirikisha hayo maelekezo watu wengine. Na watu wengine na hakika kuna vitu tunavyoviita ni vya Kiufundi ambavyo huhitaji Kuwashirikisha watu wengine hivyo vyote. Lakini kuna vitu vya biashara na baadhi ya vitu ambavyo unaweza kuvichagua Ambavyo vitawasaidia watu wengine Katika biashara. Na siyo hilo tu kama Unataka kuwa mpiga gitaa maarufu Au mzungumzaji mzuri unapaswa Kumfundisha na kumshauri mtu mwingine katika huo ujuzi wa kucheza gitaa Au katika ujuzi wa kuwa mzungumzaji.Hii ni kanuni ambayo inayojulikana. Naamanisha, hii ni kanuni Ambayo inajulikana kote, siyo tu katika biashara ila Zinahusika kwenye biashara.Kwa hiyo Unahitaji kujua kwamba Kwamba hekima inayotoka kwa Mungu Ambayo unaihitaji.Hiyo kanuni iliyojificha Inaweza kuwa unaikosa. Unapaswa Kushirikisha baadhi ya hekima uliyonayo sasa na Mtu ambaye yupo nyuma yako ambapo Unamsaidia mtu. Ninakwambia ni kanuni nina uhakika nayo. Nina uhakika kwamba kama jua litachomoza kesho. Kwamba Hii ni moja ya funguo ambazo wewe Unapaswa kuwashirikisha wengine Unapaswa kufikiria hilo kwa njia hii, Hakuna ukomo katika hekima kwamba utasema Najua kiasi hiki.Sitaki kuwashikisha hicho Kwa sababu hicho ndicho pekee nilichonacho. Hapana kama ukishirikikisha ndivyo ziada Itakavyokuja kwako. Nakuthibitishia. Fikiria hilo Kwa njia hii. Kama una chombo unachokijaza maji. Na ulikuwa unajaza maji kwa njia yeyote. Kwa wakati fulani hicho chombo kitajaa. Na labda utaacha, Kujaza hicho chombo kwa sababu Unafanya uharibifu ardhini au ndani ya nyumba yako au Sehemu fulani. Kwa sababu chombo kujaa kupita kiasi Kutasababisha Umwagikaji ambao utakuwa ni fujo na utaacha. Na hicho ndicho ninachokiamini Mungu anachokisema nimekupa hekima. Nimekupa kila kitu ambacho unakiweza Weka nafasi zaidi kwa ajili ya hekima zaidi. Kwa kuwashauri watu, Na kuachiria. Kwa kuelezea na kumsaidia mtu mwingine. Tena hakuna kikomo katika fursa zilizo Nyuma yako.Unafikiri utapungukiwa na hekima Haiwezekani tunagundua Vitu ambavyo hata havijawahi kufikiriwa Miaka 100 iliyopita. Baadhi ya vitu ambavyo havikuwahi kufikiriwa miaka 10 iliyopita.Kumbuka kwamba simu za mkononi zimekuwa Hapa kwa muda wa miaka 10. Na je, unajua kiasi gani cha maelezo tunacho Katika simu zetu sasa? Inashangaza sana kabisa. Vile vitu ambavyo ninaweza kuvifanya kwenye simu yangu. Na Unajua nini? Hata haijaanza kuanza, wanafikiria Vitu vipya zaidi.Hivyo ndivyo Unavyotenengeneza fedha kwa kufikiria vitu vipya ambavyo hakuna mtu mwingine Amevifikiria.Lakini siyo kitu Kilichotengenezwa na binadamu. Naamini, Mungu hutoa hekima. Unaona Vitu vingi vilivyotengenezwa na wanadamu Ni kurudia vitu ambavyo umevisikia, mtu anasoma kitabu na anajifunza Kumfundisha mtu mwingine.Hiyo ni nzuri lakini Siyo nzuri zaidi, acha nikupe Mifano na katika mazungumzo yetu huwa tunafanya hivi.Natumaini Sionekani kama najaribu kujipa sifa ila nitakwambia Nimeishi na kuendesha katika utoaji wa hekima. Kutoa msaada Kwa wengine, Nilipokuwa bado kijana, watoto wangu Walikuwa wadogo. Nilikuwa mwalimu wa shule ya jumapili Katika kanisa letu. Nilifundisha kimsingi watoto wavulana wa secondary. Kwa sababu walimhitaji mwanaume ambaye ataongea nao kuhusu kuwa mwanaume. Na ni kama tulipata boliti kidogo na Tulianza kuwa na changamoto. Na tulihitaji malmaka zaidi lakini kwa Miaka kadhaa niliwafundisha watoto wa miaka miwili, mitatu na miaka minne. Miaka miwili, mitatu na minne. Unajua nilifanya nini? Niliwaarika Watoto wangu wadogo ambao walikuwa na miaka 10, 11, 12. Kuwa wasaidizi wangu. Na niliwaomba waje na kutoa hekima waliyonayo kwa watoto wa miaka miwili, Mitatu na Miaka minne.Na walifanya kazi vizuri sana.Nilijenga vibarua, na ilinibidi niwe na msaada. Na halafu ikabidi ipitie changamoto. Na nyingine nilikuwa nafanya kazi na vija wadogo. Mara zote nipo tayari kuwasaidia vijana wadogo katika njia yeyote. Nataka kuwasaidia vijana ambao wanapitia wakati mgumu. Na kama mtu mzima Kufundisha jinsi ya kuandika mpango wa biashara. Nilijifunza kutoka kwa chanzo hatua za kufundisha za jinsi ya kuandika mpango wa biashara. Rafiki yangu Jim na Mimi ndiyo watu wa muda mrefu Tuliokaa na kuendelea kwa muda mrefu katika Maktaba ya Serikali. Tulifanya kwa miaka 10 Mara moja kwa mwezi na tulikosa miezi michache sana. Katika kipindi cha miaka 10 kwamba tuliandaa semina Kwa ajili ya mtu yeyote anayetaka kuja bure.Jinsi Ya kuandika mpango wa biashara.Tulifurahia kufanya hivyo.Lakini Nilikuwa natoa uzoefu wangu.Unajua nini? Ninachokifanya sasa hivi Ni kukupa wewe ufahamu katika maisha yangu. Ndani ya vitu ambavyo nimejifunza. Ninatoa ndani ya Ujazo wangu, Kutoka kwenye utosherevu, Vitu ambavyo nimepewa na haujui Vitu vingapi navifikiria kuvifanya. Mke wangu anasema Punguza mwendo kidogo, watu wanaofanya kazi nami Mara zote hunitania Mara zote huwa na mawazo mapya. Na ni mawazo mapya.Na siyo kitu ninachokiita Ni kitu cha asili.Au asili yangu ya pili.Nina mawazo mapya Ya kiubunifu ambayo watu wengine Hawajayafikiria. Au mimi sijajifunza kutoka kwa hao watu wengine. Baada ya muda husema huyo ni Mungu Kwa sababu watu wengine watajifunza kuhusu hilo. Lakini siyo katika mwitikio wa mnyonyoro. Kwa sababu Hekima imetolewa na ishike na ipate na Uitumie lakini tumia aina ya hekima ya Kimungu. Lakini usiwe mzembe ukafikiri kwamba makosa yako ni sehemu ya kujifunza. Na hapo ndipo utakapo Jifunze zaidi, Nakuhakikishia kila mara Vizuri bila shida kabisa.Hujawahi Kupata shida. Hujawahi kupata shida. Hujawahi kupata changamoto, hujajifunza Kitu chochote cha ziada. Lakini una changamoto Kwenye biashara.Hapo labda ndipo Kunawezekana kuwa na fursa Unahitaji kujifunza kitu fulani. Kwa hiyo usidharau vitu viwili. Usidharau siku za mwanzo mdogo. Na usidharau kosa dogo Kwa hiyo hatua kwa hatua ina maana Hutaki kufirisika na kwa hiyo una Kikwazo na Siyo janga halisi. Kwa hiyo kua hatua kwa hatua, Kumbatia vile vitu vinavyoonekana kama makosa au vikwazo, Jifunze kutoka kwa hivyo vitu. Lakini toa Kile ambacho unacho. Simjui mtu yeyote wa kumpa, jitoe Kuna mtu anahitaji kujua kitu Kuhusu kile ulilcho nacho. Natumaini hili litakusaidia. Natumaini hili ni la faida kwako.Nina furaha kuwa sehemu ya maisha yako kupitia Kupitia uhamasishaji wa biashara bora. Asante!
Gary Shotton on EmailGary Shotton on FacebookGary Shotton on LinkedinGary Shotton on Twitter
Gary Shotton
Founder | IBBTalks.com
The founder of IBBTalks.com which was formed to "Inspire Better Business."
As an astute businessman, he is passionate about helping others in the business world achieve maximum profits. He has a keen interest in international business. www.InspiringBetterBusiness.com

0 Comments

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

Share This