Translators and Transcribers

Anza

Wanaojitolea kuandika na kutafsiri wanasaidia kusambaza mawazo mazuri kwa wasilikilizaji duniani. Lugha tunazozilenga  ni Kijerumani, Kichina, Kiispaniola na Kifaransa


Mtililiko wa Kazi

Vichwa vya habari hupitia hatua zifuatazo kabla ya kuthibitishwa:

1. Usajili

Mazungumzo ya IBB Talks hutoa hati ya halisi.

2. Kutafsiri

Mada ndogo ndogo hutafsiriwa kutoka kwenye lugha ya asili  kwenda lugha ambayo tunailenga, kwa kutumia mtandao.

3.Tathmini

Mada hutathminiwa na mtu mwenye uzoefu wa kujiotolea, ambaye ametafsiri zaidi ya dakika 90 za mafundisho haya.

4. Kupitisha

Kabla ya kuchapiswa, tafsiri zilizotathminiwa zinathibitiwa na mratibu wa lugha au mfanyakazi wa  Mazungumzo ya IBB Talks.


Kama ungependa kushiriki katika kutafsiri au kunukuu mazungumzo yetu ya mafundisho, tafadhari jiandikishe katika sehemu ya watu wanaojitolea. Tovuti ifuatayo itakupeleka kwenye ukurasa utakao weza kujisajili na kusaidia.

Asante!

Ishara ya juu / Ishara katika


Kwa maelezo ya jinsi ya kujisajili na kuwa mtu unayejitolea kwenye mazungumzo ya IBB Talks angalia hii video fupi ya maelekezo

[vimeo 166752629 w=100 h=563]
Maelezo ya jinsi ya kunukuu au kutafsiri video na kuwa sehemu muhimu ya timu yetu angalia video hii fupi ya mafunzo.

[vimeo 166759284 w=100 h=563]

 

Share This

Share This

Share this post with your friends!