Mahusiano

Mahusiano
January 7, 2018 Gary Shotton

Kua mjuzi kwa kutengeneza mahusiano na makundi ya watu muhimu kwenye biashara yako na itakupelekea kupata faida.

Mahusiano

Habari, jina langu ni Gary Shotton na nipo hapa katika kiwanda changu nchini Marekani na natumaini kwamba unafurahia mafundisho haya. Yanahamasisha biashara bora. Leo tutazungumzia kuhusu neno “mahusiano” na nitakwenda kuzungumza juu yake kwa namna ambayo inakupa ufafanuzi fulani kama nitakavyotumia. Na kisha niwatashiriki jinsi uhusiano ni muhimu katika angalau sehemu nne za biashara. Hakika na mfanyakazi, na mteja, na wauzaji na kisha na benki yako au taasisi yako ya fedha hivyo unahitaji kuwa na kuendeleza na kujenga mahusiano mazuri.Mara kwa mara na tena ikiwa utakuwa na matumaini yoyote ya kuwa na mafanikio katika ulimwengu wa biashara.

Naam, kwanza kabisa,mahusiano. Naam, neno la msingi linahusiana. Naweza kuhusiana na watu? Unajua, wakati mimi ninaposikia na kuzungumza na mtu, naelewa ni wapi walipo, wapi wanatoka. Ninaweza kujiweka katika nafasi yao.Kwa maneno mengine, nitaweza kupanga upya, hali hiyo wakati nimeketi katika kiti chao na wanazungumza nami juu ya somo linalofanana.

Ninaweza kuwahusiana nao. Hebu tungalie kuhusu hali halisi ya kuhusiana na wafanyakazi wako. Kwa nini hiyo ni muhimu sana? Nimekutana na watu na nimesikia hali ambayo bosi hajui lolote kuhusu wafanyakazi wake wanawatendea wafanyakazi wao kama ni sehemu ya vifaa, namba, hakuna ushiriki wa kibinafsi wakati wote. Sidhani hii itakupeleka mbali sana siku na wakati huu. Nimesikia baadhi ya nchi za kale za Kirusi ambazo walizungumza juu ya bosi au mmiliki wao akiendesha gari lenye vioo nyeusi.Hushusha vioo vya madirisha kidogo na kuangalia nje.Hiyo ndiyo tunayozungumzia. Tunazungumzia kuhusu kujenga mahusiano. Kuna kikomo cha kujua zaidi nafikiri kuhusu wafanyakazi wako kwa sababu napenda kuwatenganisha kati ya ulimwengu wa biashara kutoka kwa maisha ya kibinafsi. Siishi nikichimba katika maisha ya kila mtu. Mimi sio mshauri. Sijaribu kutatua matatizo yao yote binafsi. Ninavyo vya kutosha mikononi mwangu ili kutoa mazingira mazuri ya kazi.

Nitawaambia kuwa kama wataonyesha tabia nzuri ya kazi na kutoa mapato ya kutosha, mengi ya masuala ya kibinafsi yatayeyuka, ndoa au watoto au hata kimwili ikiwa una ajira imara na tunaweza kutoa hiyo. Naam, kwa upande wangu, mimi sio ninayeandika hundi na kusaini hundi kuwapa wahusika hundi kila wiki, hivyo nina shida kidogo hata kujua nani anafanya kazi kwa ajili yangu. Tuna wafanyakazi 60 na tumekuwa na watumishi wapya 17 katika mwisho huu Miezi 12. Kwa hiyo, ninahitaji kufanya kazi na kuandika na kujua majina yao. Kwangu hiyo ni sehemu ya uhusiano. Ikiwa nina watu 60 wanaofanya kazi kwangu,aibu juu yangu ikiwa sijui majina yao. Sasa, inaweza kunichukua mara kadhaa. Nimeunda mchezo mdogo kuhusu hilo.Ninawaambia wafanyakazi wapya, huwapa mkono wangu, na wao hunipa yakwao. Huwasalimu na kusema, “Jamani, ninafurahi wewe ni sehemu ya kampuni yetu.” Tayari wameangalia video ya anakaribishwa kwa asili sababu wanaangalia video sawa na hii lakini kibinafsi hiyo ni tofauti na kuangalia video zaidi ya mimi kutembea na kusema , “habari, niambie jina lako.Niambie kidogo kuhusu maisha yako.” Napenda kukuambia kidogo juu yangu “na kisha tukipeana mikono na kuwaambia, “jamani, ninafurahi wewe uko hapa.Napenda kujua kama kuna chochote ninachoweza kufanya ili kufanya vitu viende vizuri zaidi. “Hicho ndicho ninachokifanya lakini baada ya hapo kwanza baada ya utangulizi najua nahitaji kujua majina yao kwa hiyo nawaambia,  “Sasa, kama siwezi kukumbuka jina lako,kunanigharimu dola moja na hufanya utani nao. Huwaona  baada ya siku kadhaa baadaye na husema Nimesahau jina lako. Hapa inakuja dola moja. Niambie jina lako na hufanya utani naye kidogo kwa sababu mimi huchukia kutumia dola ya ziada unajua na wao hupata nguvu kwa sababu wanajua mimi siyo mkamilifu. Nadhani ninataka kusahau majina yao lakini, ninafanya kazi hiyo. kujua majina yaao.

Wateja wako. Vipi kuhusu wateja wako? Hakika, hatujaribu kufanya kazi au maombi au jozi moja ya viatu ikiwa unauza viatu. Kwa upande wangu, ninauza vifaa hivi nyuma na tuna uhusiano na wateja wetu. Kwa upande wangu, sina wauzaji wengine lakini isipokuwa mwenyewe kwa sababu kwangu katika biashara hii, hii haiwezi kufanya kazi kwa kila biashara, lakini katika biashara hii sihitaji kweli mtu katikati yangu na mteja. Nina uhusiano na wao na ninakutana nao mara kwa mara Hiyo inaweza kuwa mara moja kwa mwezi, hiyo inaweza kuwa mara moja kila wiki nyingine.

Hakika, nilizungumza nao, hakika ninawaandika barua pepe. Katika upande mwingine wateja wangu wapo mbali kwa hiyo nakutana nao mara moja kila baada ya miezi mitatu au miezi minne na hiyo ni nzuri lakini ninahakikisha kuwa mteja anajua kwamba ninawasikiliza mahitaji yao na wanaweza daima kunipigia. Nina simu ya mkononi kwenye kadi yangu ya biashara wanaweza kunipigia na wakati wananipigia wanajua nitajibu. Wanajua kwamba nitapochukua, jukumu na wajibu maana yake ni kuwajibika. Siwezi kutoa udhuru mwingi. Nitawaambia, “Jamani, hatukufanya kile tulichotaka katika kesi hii maalum lakini hizi ndizo hatua tunazochukua ili kuhakikisha kuwa haiwezi kuwa tabia.” Tunajenga mahusiano nao. Mara nyingine tena, nataka wateja wanaojirudia. Ninataka uhusiano yanayoendelea. Sitaki kazi moja tu na tunajaribu kulinganisha wateja wetu na sisi tulivyo. Kuna watu wengi tunaoanza au kufikiria kufanya kazi zao na tunabidi tuwaambie unajua sisi hatuendani hatuendani vizuri nawe. Napenda kukusaidia kupata mwingine wasambazaji wengine badala yangu ambao wanaendana vyema nawe. Sitamwona tena mteja huyo lakini ni biashara nzuri kujenga uhusiano na mtu yeyote tunayoungana naye. Wafanyabiashara.

Wauzaji ni watu ambao unawalipa kwa kile wanachokupa. Kawaida ni kila kitu kwa upande wetu kutoka chuma hadi kwenye vidokezo vya ukataji ambavyo zinafanya sehemu hapa vifaa kwa ajili ya ofisi.Kwa hali yeyote ile nafikiri kitu nambari moja katika uhusiano na muuzaji ni kulipa kwa wakati.Usiwanyooshe sana. Hakikisha unajua jinsi  ya mipaka yako ilivyo na ambayo una fikiri mazuri katika ustawi wao wa kifedha. Ikiwa wanauza kifaa kwa hivyo basi una wajibu wa kulipa na kulipa kwa wakati.Labda si kamilifu lakini angalau wasiliana nao. Niligundua miaka mingi iliyopita wakati nilikuwa katika biashara ya usafiri na uhufadhi wa mizigo kwamba nilifikia hatua ambayo  sikuweza kulipa madeni kwa wakati. Je unajua nilifanya nini? mhudumu anipe dondoo kidogo. Nilisema, nimempigia na kusema sikiliza ninawajibika kwa deni hili. Kwa muda huu, siwezi kulipa, kuandika hiyo hundi kwa sasa lakini ninafanya kila jambo niwezalo na tutawasiliana na wewe mara kwa mara mpaka tutakapolilipa deni. Huo uhusiano. Kwa sasa nina uwezo wa kulipa kulipa madeni yangu kwa wakati kwa sababu nina biashara nzuri na bado kuna nyakati ambazo ninahitaji kujenga mahusiano na muuzaji wangu. Nataka kujulikana katika mji kama kampuni inayolipa madeni yangu.

Napenda kuzungumza juu ya kitu kingine, benki yako.Wow! Tuko katika ulimwengu ambapo mabenki wanabadilisha wafanyakazi wakati wote na mimi kwa kweli naweka fedha kwenye benki moja. Niweka fedha kwenye benki hii kwa zaidi ya miaka 30.kwa sababu nataka uhusiano nao. Ninataka waniamini. Ninataka wao wajue kwamba ninawasikiliza. Ninataka wao wajue kwamba ninawajibika kwao na ikiwa wanasema hapana Sipaswi kukasirika. Nadhani wao wapo upande wangu.

Wao wapo kwa ajili yangu,tupo kama timu.Kwa nini niwalazimishe wanikopeshe fedha wakati hawafikiri ninaweza kulipa? Ninahitaji kuwashawishi na hivyo sijawahi kuchukia benki yangu au taasisi ya kifedha. Naweza kuwa siipendi.Naweza kuwa kidogo nimekatishwa tamaa narudi

kiwandani na kutafuta nini kifanyike ili kufanya vitu viwe bora. Mara nyingi ni wakati ambao nashindwa kulipa madeni. Ninakua haraka sana. Kwa hiyo, ninahitaji kupunguza tena. Ninahitaji kukua polepole kidogo. Ninahitaji kukata kitu ambacho hakina faida. Hivyo ni kutafuta kwangu. Kwa kweli, kwa kumalizia unajua mchakato huu wote ni pale ambapo watu hadi watu katika sehemu zote hizi zote nne.

Wakati mwingine utasikia kwenye biashara tunasema kwamba biashara kwa biashara. Hiyo ina maana biashara moja inauza kwenye biashara  nyingine. Wakati mwingine utasikia inayoitwa B2B. Wakati mwingine utasikia inaitwa B2C ambayo ni biashara kwa wateja.Vizuri katika mtazamo wangu hizi zote nne ni mtu kwa kwa mtu muda wote. Zenyewe siyo kampuni. Siyo wazi. Watu ni watu na tunajighulisha  na watu na siyo mashirika makubwa. Tafadhali tujulishe ikiwa kuna kitu chochote tunaweza kukusaidia. Ikiwa una baadhi ya mapendekezo juu ya mada unayotaka tuzungumze tunafurahia kusikia na kutusaidia, kuhamasisha biashara bora. Asante.

 

Gary Shotton on EmailGary Shotton on FacebookGary Shotton on LinkedinGary Shotton on Twitter
Gary Shotton
Founder | IBBTalks.com
The founder of IBBTalks.com which was formed to "Inspire Better Business."
As an astute businessman, he is passionate about helping others in the business world achieve maximum profits. He has a keen interest in international business. www.InspiringBetterBusiness.com

8 Comments

 1. Ralph Elliott 3 years ago

  Gary, great, helpful topic. I am going to share this with my coworkers.

 2. Author
  Gary Shotton 3 years ago

  Ralph, I am glad that you liked the teaching on relationships. I feel strongly that building relationships is a very important part of any business and if our viewers can understand the value and know how build good relationships, they will be ahead in their finances.
  Your Friend,
  Gary Shotton

 3. Alla Pavetic 3 years ago

  I especially liked your comment about keeping a good relationship with people you are not planning to work with. Because you never know when you might meet again or who they can recommend you to. In that way it’s good to have communication lines open and not to “slam door in their face”.

  • Author
   Gary Shotton 3 years ago

   Agreed. I don’t think we realize how important relationships can be to our success. Let me be clear. We do not want to seek out those people that can advance our career or business, but we want to seek people that have a similar hard to serve God in their business. I think it would be a bad relationship that does not center of mutual respect and support.

   • Author
    Gary Shotton 3 years ago

    Your comments and suggestions are always appreciated. You have great insight in working with people in more than one language and culture. I admire you very much.

  • Author
   Gary Shotton 3 years ago

   Thanks, think this subject of relationships is sometimes replaced by the word, Networking, but for me, Networking is selling your self and putting your self first where relationships is putting the other person first.

 4. Tim Rovenstine 3 years ago

  Sharing this today with my friends in Guatemala. Good stuff

  • Author
   Gary Shotton 3 years ago

   Thanks, As you know, I have visited Guatemala several times but nothing in the last 5 or 6 years. I know this is where you lived in the early days. Everyplace you lived, you and Roberta made an impact. Thanks for your friendship.

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

Share This

Share This

Share this post with your friends!